African Sayings
This list is currently only Swahili, but will include more shortly



Swahili Sayings
Riddles and Superstitions
by S.S. Farsi
Eastern Africa Publications, Arusha
Riddles
  • Anataga huku akitambaa. (Mboga)
    » It lays eggs and creeps at the same time. (Answer: Pumpkin plant)

  • Kafa huku ananing’inia. (Buibui)
    » It has died, but is still hanging. (Answer: Spider)

  • Mti umeangukia huko mbali, bali matawi yake yamefika hadi hapa. (Tanzia ya kifo)
    » A tree has fallen far away, but the branches have reached here. (Answer: News of a death)

  • Kamba yangu ndefu, lakini haiwezi kufunga kuni.
    » My rope is long, but it cannot tie a bundle of firewood.

Superstitions
  • Kuzaliwa na vidole sita ni mabruki.
    » To be born with six fingers is to have good fortune.

  • Mwenye kula miguu ya kuku atakuwa daima katika mwendo tu.
    » He who eats a fowl’s legs will become a wanderer.

  • Anapoia punda usiku basi anabashiri kuwa pana shetani hapo
    » When a donkey brays at night it announces the presence of ghosts in the vicinity

  • Ukimataja mtu na palepale akatokea, inathibitisha kuwa ni mwana wa halali.
    » If you talk [ill] about someone, and he appears at the same moment, it is a sign that he is not a bastard [or what you are saying isn't true].

  • Mwendawazi nu anayekula chakula chake siku zote kwa kawaida hatapona tena
    » A madman who takes his meals regularly will never regain his sanity.

  • Ukimcheka mtoto mchanga akijamna, basi utajamba mwenyewe mbele ya watu na utatahayari sana.
    » If you laugh at a baby/child breaking wind you will accidentally do so yourself in the presence of people whom you respect.

If you are interested in more Swahili Sayings or would like to buy the book, please email me at

Contact Us
© 2000 - 2006 ExitToAfrica.com